Upendo na baba ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna dhamani, hey
Upendo na mama mama ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna dhamani
Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo
Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo
Ukifika nenda mwambie Dakika moja tu Mimi nataka niongee naye Dakika moja tu
Akichelewa nitasubiri Nitangoja tu Ila nataka niongee naye Dakika moja tu
Aaaah....
Naona kama me nachomwa na jua Usiku mkali, na maradhi naugua Unanichanganya, navyo sema  nazingua
Kisasi na salary, me nawaza nawazua
Aaah, si ulikubali, kwa kila hali baba Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba Si ulikubali, kwa kila hali baba Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba
Hee Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake Na mabaya yamo humo
Dunia ina maajabu yake Na mabaya yamo humo Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo
Ukifika nenda mwambie Dakika moja tu Mimi nataka niongee naye Dakika moja tu
Akichelewa nitasubiri Nitangoja tu Ila nataka niongee naye Dakika moja tu
Mwambie azibe nyufa Akichelewa nitakufa
Hey Sawa sawa, sawa sawa Sawa sawa, sawa sawa Sawa sawa, sawa sawa Sawa sawa, sawa sawa