Na enjoy kwa penzi lako niko hoi Sichomoi, forward wangu tia magoli baba Na enjoy kwa penzi lako niko hoi Sichomoi, forward wangu tia magoli yeah
Love making, love till I die Love making, love till I die Love making, love till I die Love making, love till I die
Oooh nibebe mawzoni Unifae mapenzini Tupae wote angani Tuwe kama nyota na mwezi
Mahaba kama pombe la kibaniani Nakupa vyote koma vya kwenye sahani Dinner twende China ama Taiwani Umenishika shingoni kama tai yaani Mwenzako choka mbali we u hali gani Usijebadilika kuwa hayawani You got me falling in love
Na enjoy kwa penzi lako niko hoi Sichomoi, forward wangu tia magoli baba Na enjoy kwa penzi lako niko hoi Sichomoi, forward wangu tia magoli yeah
Love making, love till I die Love making, love till I die Love making, love till I die Love making, love till I die
Usiwe na pupa baba Kula nyama yote nibaki mifupa Utakacho nitakupa Ila chunga sana sana nisije juta
Hisia zipeleke Tanga Nikoroge kwa huba Kiuno mi nidondoshe shanga
Hakuna kukesha kuganga Utam tam kamanda kavua na gwanda
[Darassa] Now take it to the top top Pita katikati mpaka kwenye nyayo za miguu She say baby stop stop Vitu navyofanya si I got mad over you
Nampigia simu five times in a day Mchana namtext naenda na lunch takeaway Ukitaka kitu sema mama usiogope bei Love imechanga take it, take it I´m gonna pay
And don´t worry about anything Tryna do the right thing for you you feel me Watakuambia nitakuacha chini Amini usiamini one day you --