đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Ruby
Titre : Naolewa
(Fraga got the recipe)

Waliniita kimbaumbau, kiguu na njia
Ila nikadharau, nikapuuzia
Leo kwao kafa nyau, yanawanukia

Kwetu twafinya pilau, yametimia

Oooh wanjara, walete bunyero ooh
Mi nataka kulimwaga razi(Na makagheroo)
Waite na mapaparazi (Wapate kero)
Wale wenye magho ya nazi(Bando la jero)

Wapate vya kuperuzzi

Habari ziende kwa ma ex
Penzi waliodhulumu
Tena nimepata tetesi
Mmoja ataka kunywa sumu

Kisaa jamani kisaa
Nikauliza kisaa, kisa leo naolewa
Naolewa, naolewa mie(Ooh sheba)
Naolewa, naolewa mie

Nilikosaga na dira kwa maneno ya waja
Oooh subira aaah, mbele inafaraja
Asa chereko, ngoma lipo uwanjanii
Mwali na mideko, kama nimetoka ngomani

Aii yuko wapi mamie mwali
Aje anibebe mgongoni
Amuite daddy mwali waje
Wayarudi ya msondondo

Bibi anacheka, zawadi kaleta
Na kitenge na mkeka
Na kibunda cha pesa
(Aaah aah aaah)

Habari ziende kwa ma ex
Penzi waliodhulumu

Tena nimepata tetesi
Mmoja ataka kunywa sumu

Kisaa jamani kisaa
Nikauliza kisaa, kisa leo naolewa
Naolewa, naolewa mie(Ooh sheba)
Naolewa, naolewa mie

Sina sina makosa(Mtoto wa mwenzio)
Sina sina makosa(Utajiua)
Sina sina makosa(Mtoto wa mwenzio)
Sina sina makosa(Utajiua buree)

Buree, bureee...