đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Ruby
Titre : Wanakoma
(Mocco)
Haki ya Mungu mimi nakoma na yeye (Nakoma ah naye)
Haki ya Mungu mimi nakoma na yeye (Nakoma ah naye)

Haki ya Mungu mimi nakoma na yeye (Nakoma ah naye)
Haki ya Mungu mimi nakoma na yeye (Nakoma ah naye)

Wanakoma (Hao)
Na bado tunakoma nao (Hao)
Mapenzi yamekoma (Hao)
Wamezoa na vijiba vya roho (Hao)

Wanakoma (Hao)
Na bado tunakoma nao (Hao)
Mapenzi yamekoma (Hao)
Wamezoa na vijiba vya roho (Hao)

Unajuwa baby ninakupenda
We ndo kila kitu kwangu
Unapashwa kuwa na mimi

Juwa wendo chaguo langu

Karibu kwenye dunia yangu
Tujenge tu familia
Ahhhhhh, iyiiih uhhh yaah

Umenipa mahaba umenipa
Umenitakasa mwili na moyo
Unanifaa wendo unanifaa
Ushaniteka akili na roho

Wewe umenipa mahaba umenipa
Umenitakasa mwili na moyo
Unanifaa wendo unanifaa
Ushaniteka akili na roho

Wanakoma (Hao)
Na bado tunakoma nao (Hao)

Mapenzi yamekoma (Hao)
Wamezoa navijiba vya roho (Hao)

Wanakoma (Hao)
Na bado tunakoma nao (Hao)
Mapenzi yamekoma (Hao)
Wamezoa na vijiba vya roho (Hao)
Eeeh oooohhh yahhh, oh baby hmmm

Penzi nalidonowa dono dono
Wala sinziri sirizi
Japo kidogo dogo
Nimeridhika aah

Mapenzi unayonipa
Mina burudika wanifikisha kilele
Huba lako hakika
Lamelainisha aah ohh babe eeeeh

Umenipa mahaba umenipa
Umenitakasa mwili na moyo
Unanifaa wendo unanifaa
Ushaniteka akili na roho

Wewe umenipa mahaba umenipa
Umenitakasa mwili na moyo
Unanifaa wendo unanifaa
Ushaniteka akili na roho

Wanakoma (Hao)
Na bado tunakoma nao (Hao)
Mapenzi yamekoma (Hao)
Wamezoa navijiba vya roho (Hao)

Wanakoma (Hao)
Na bado tunakoma nao (Hao)

Mapenzi yamekoma (Hao)
Wamezoa na vijiba vya roho (Hao)
Eeeh oooohhh yahhh, oh baby hmmm

Babe babyy eeeeeeeeh
Tusheshe, hmmm ahaaaaaaah
Tusheshe, tusheshe (Ahahaha)
Tusheshe ma babe (Tusheshe)
Ahaha ahaha ahaha ohhhhhh
Tusheshe (Tusheshe oooh baby babe)

Tusheshe, tusheshe
Tusheshe, tusheshe
Tusheshe, tusheshe