Waniandalia meza Mbele ya maadui zangu ooh Niled eeh niywe eeh Mbele ya maadui zangu ooh Niled eeh niywe eeh Mbele ya maadui zangu ooh
Siwezi… siwezi (Mungu waangu) Bila wewe Yesu siwezi Nakuhitajii Siwezi… Siwezi (Mungu waangu) Bila wewe Yesu siwezi
Siogopi ni salama Ukiwa karibu nami Siogopi ni salama Ukiwa kaaribu nami Wanichunga wanitunza
Siogopi ukiwa na mimi Wanitunza, wanichunga Siogopi ukiwa na mimi
Siwezi… siwezi (Naioua mikono yangu) Bila wewe yesu siwezi (masia ee Nakuhitjii) Siwezi (Mchungaji mweema) Siwezi (Kilaa saa…) Bila wewe Yesu siwezi
Mfariji kila saa Sitishiki ukiwa name Mfariji kila saa
Sitishiki ukiwa nami Gongo lako, Fimbo lako Wafariji moya wangu Gongo lako, fimbo lako Wa - fa – riji moyo wangu
Siwezi (Siwezi mimi) Siwezi (Mchungaji mweema) Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitajii) Siwezi (Nakuhitajii) siwezi (kila saa) Bila wewe yesu siwezi Siwezi bila wewe Siwezi… Siwezi bila wewe Bila nguvu zako Bila wewe yesu siwezi (Wema na Fadhili zaako)
Siwezi (lini kuatee) Siwezii Bila wewe yesu siwezi Siwezii