Eti Siku hizi nangangana Ukiniona unaficama Jina langu likitajwa unashtuka Presha inapanda unaanguka Una anguka wazimia
Mtaani wanashangiliya Wengi wao uliwaoneya Na maisha yao kuwa haribia Nilimuomba mungu mi hekima Akanijalia akaniazima Sasa nina deal na watu wazima Don´t Panic pindi unapo niona
Nipe wire wire Nipe wire wire Niseme nao nao Ni deal nao Nipe wire wire Nipe wire wire Niseme nao nao Ni deal nao Ni Satura Mbona Niko Bien
Maisha mafupi Aca niwe bien Le Marechal Mbona niko bien Oui le King Mbona niko bien
Kale katoto ka jana Kale katoto ka juzi Kanajifanya kamekuwa Hakana adabu Hakana heshima Kale katoto ka jana Kale katoto ka juzi Kanajifanya kamekuwa Hakana adabu Hakana heshima
Ukinita mbwa Ukinita Dogo Ukinita Doggy Yote pOa tu Hayo ni maneno Nyuma hayanirudishi Kama unavo juwa Kwanza haunilishi Baba badi eeh Baba badi eeh Wambiye wadau wangu wasitishike WaSiridhike washughulike wazitafute Wajilinde Na ma dharau Kamwambiye mama kama bado Mapambana bado najituma Japo wana bana Ukiwaona masela wangu waku bata Uwambiye Asalam Aleykum
Maisha mserereko Juzi alipata yule Jana nikapata mimi Kesho itakuwa wewe Don´t worry
Nipe wire wire Nipe wire wire Niseme nao nao Ni deal nao Nipe wire wire Nipe wire wire Niseme nao nao Ni deal nao Ni Satura Mbona Niko Bien Maisha mafupi Aca niwe bien
Le Marechal Mbona niko bien Oui le King Mbona niko bien
Kale katoto ka jana Kale katoto ka juzi Kanajifanya kamekuwa Hakana adabu Hakana heshima Kale katoto ka jana Kale katoto ka juzi Kanajifanya kamekuwa Hakana adabu Hakana heshima