(David Étienne All Artists) Tariki 25 ya mwezi wa 5 Mzee Manarha mwenye busara, ametuacha
Atuna mengi yaku sema, pumuzika salama Atutoweza Ku sahau,mambo uliyo ya fanya ‘´Manarha Kuminga Jean-Chrysostome´´ Pumuzika Salama.
(Daniel Radam All Artists) Ijapokua ume tuache, tuna imani kwamba tutaonana Kwa Mungu Baba aliye mbinguni, tuna amini kwamba tuta onana Kwa Yale mazuri uliyo fanya, tuna amini utavikwa taji ya uzima ah ah Mahali pema nenda Ukapumzike, Papa Manarha nenda Ukapumzike
(All) Umeondoka tutaku kumbuka (umeondokaa , tutaku kumbuka) Kwa mazuri, uliyo ya fanya (Kwa mazuri hii)
Umeondoka, tutaku kumbuka ( umeenda baba, myoyo yetu ina umaa) Kwa mazuri, uliyo ya fanya (kwa mazuri baba) (familia inaliya watu wana liya baba) Mahali pema nenda Ukapumzike, Papa Manarha nenda Ukapumzike (yee mahali pemaaa)
(Eben Ezer All Artists) Mukubwa kwa mudogo wewe uliwasaidiya, ulikua kimbilio cha wengi, nakuliya baba, ulitufunza upendo we have seen love through you, we really love you uh, eh baba, eh baba eh pumuzika Salama.
(LeBon All Artists) Baba yetu Manarha ametuacha Moyoni tunabaki na machozi Shuja ameondoka tena Yupo pamoja na mwokozi.
(LeBon & Daniel Radam) Kido ni fumbo kwa watu wote, kifo faida kwa mkristu Twa farijika sisi sote, tutaonana baba yetu.
(All) Umeondoka tutaku kumbuka (umeondoka, Baba yangu baba ah) Kwa mazuri, uliyo fanya (iyee iyee) Umeondoka tutaku kumbuka (tutaonana, babaaa) Kwa mazuri, uliyo fanya (iyee uko juu, uko juu tutaonana) Mahali pema nenda Ukapumzike (iyee iyee iyee iyee) Papa Manarha nenda Ukapumzike (Papa, Baba yangu eehee , aaii)
(Shomari Chryzo) Nilizaliwa unaniona, ukani komalisha ukanipa na JINA ´´Majina´´ Nikifunga macho nakuona, roho unani uma Upole wako hasilia, Mzee mwenye hekima Papa Mbona kifo Cha Ivo ? Nikifunga macho nakuona moyo unani uma Umeondoka watu achia nani ? Ataongoza familia ni nani ? Nani mwengine atani ita ´´Majina Chryzo´´ eeh ? Eh Baba Mungu ona ata mema, aliyo fanya baba yangu miye Na Nafsi yake uitunze vema, umu kumbuke Aaah NENDA Eh, PAPA Manarha NENDA Eh, NENDA Eh Papa lala Eh, Papa Manarha lala, Eh lala Eh.
(All) Mahali pema nenda Ukapumzike
PAPA Manarha nenda Ukapumzike (David Étienne) Kwa Kweli wana sema kifo ni fumbo kwa watu wote Lakini kwa sisi wa Kristo kifo ni faida kwa mkristo Mambo ambayo uliyo Fanya Baba yetu Ayata weza kutoka katika ya myoyo yetu Atuna mengi yakusema katika siku ya leo Basi tunaku takia nenda salama Baba yetu Ule Mungu uliye fanyizia mema Na amini ipo siku ataku vika Taji ya Uzima NENDA SALAMA BABA YETU.