Mighty Lord I give you glory Mkostii nipee beat Haaaa haaaaah Is your boy Stivo Simple Boy
Ndio manake,
Glory glory glory glory glory..glory Glory glory glory glory glory..glory Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori Napiga saluti pahali mi naenda, no worry Glory glory glory glory glory..glory Glory glory glory glory glory..glory Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori Napiga saluti mahali mi naenda no worry
Mighty Lord, I give you glory You know me better, tangu utotoni Mighty warrior, Jehovah Rafa Jehovah Nisi is your is your Name I kneel on my knees I call your name Father Holy Ghost fire, the devil is a liar
Is trying to pull me down But you lift me higher That´s why I lift you higher Jehovah Adonai,Aki why lie Your word is true, you never lie Mambo yako poa, yaani iko sawa sawa Lord of universe, your things are marvelous No one can copycat Siku zote umelinda, mlima na mabonde Wewe unanijali, kwa kila hali Kwako napiga kambi Damu yako imenilinda mi I don´t worry, because you´re worthy
Glory glory glory glory glory..glory Glory glory glory glory glory..glory Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori Napiga saluti pahali mi naenda, no worry
Wewe si kiatu, usikubali kuwekwa chini Fuata ndoto zako, manze kuwa na ujasiri Weka Mungu mbele mambo itakua fity Usiwe mkatili maringo ni ya nini Kwa uzembe sema NO NO Zidi kujituma more more Usiseme hauwezi, manze kamilsha iyo ndoto Mola ako na mpango, kukutumia ka mfano Wakikuona watakua wanaitisha maphoto Nalala kwa kitanda ndogo nadream big From zero to hero From nothing to something Nimeshika signal vile mi ukuwa busy Kwa studio natoa ngoma niwashike kama homa
Nashukuru wale wrote wanao nisupporti Na kunisimamia ka wakili kwa korti Nguvu nimebeba siwai sitawaangusha Kutoka Kenya, Kampala hadi Kule Arusha
Glory glory glory glory glory..glory Glory glory glory glory glory..glory Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori Napiga saluti pahali mi naenda, no worry Glory glory glory glory glory..glory Glory glory glory glory glory..glory, Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori Napiga saluti pahali mi naenda, no worry