Oooh... So high, so high, high alone So high, so high, high alone
Hapa duniani tumekuja kusafiri
Ni kweli, si siri hiyo ni kweli kamili Siku ikifika tutamwona mwenyezi Muumba mbingu na nchi, mpaka mbalamwezi
Anaponya kipofu, mpaka na kiziwi Siku zote ametulinda, yeye yuko nasi Anatupa chakula, mpaka na mavazi Napiga magoti nasali naamini
Ibilisi nakwambia huna nafasi Bila Mola manze, sisi hatuwezi Kwake niko freshi, nafeel happiness Mungu Jemedari yeye ni mtetezi
Aliumba bahari, akanipa uhai Akanipa kipaji, mimi ni msanii Natema mistari, bila kufeli Inafaa tumsifu na lugha zote
Hadi kiswahili, yeye anastahili Yeye ni mpenzi tena ni Jenerali (Aah Jenerali)
I lift you higher I wanna lift you up...So higher Lemmi lift you up
I lift you higher I wanna lift you up...So higher Lemmi lift you up
I lift you higher(Nakuinua inua inua) So higher(So inua inua inua) I lift you higher(Nakuinua inua inua) So higher(So inua inua inua)
I lift you higher
Shetani ako down, Mungu number 1 Amenipenda mi, ata nikiwa na sin Yeye ndiye dawa yaani, medicine He opens my eyes now I can see
Mambo yake iko poa yaani iko fine fine Amenipa wisdom, siku moja ndoto yangu Itakuwa on the top Kwake nipo nipo wala sita-resign
Nitakuwa na raha, nitakunywa holy wine Like father like son, yeye ndiye father Mimi ndio son, ndiyo tunaweza Yes we can Kwake nimelog in, sita log out
Yeye peke yake ndio mimi ninagain He is my royal, I wonÂŽt fall down
Nitamsifu juu bila kuona haya Kwa shetani mimi nimesema NO
I lift you higher Me nikulift you up...So higher I wanna lift you up
I lift you higher Nitaku lift you up...So higher Lemmi lift you up
I lift you higher(Nakuinua inua inua) So higher(So inua inua inua) I lift you higher(Nakuinua inua inua) So higher(So inua inua inua)
I lift you higher
Mola ananipenda kila kitu ninachotaka Yeye ananipa nikitaka gari, nikitaka nyumb Nikitaka mchumba, yeye ananipa Ananibamba kuliko mganga, yeye ndiye mwamba
Kwake nimezama, kwake kuna baraka Anapenda lugha zote, hadi ki Borana Nikiwa kwenye giza anaweka mwangaza Bila kusita sita, yeye ndiye baba Amenitoa mbali sana, nashukuru tena sana Milele daima, amenipa hekima
Amenipa uzima, kwake hakuna noma Me nampa sifa, enamo ritowa Enamo miwa ngima, kiyekuwa maybe robedo Mangima siku zote amenilinda namuita Redeemer
I lift you higher
I wanna lift you up...So higher Lemmi lift you up