Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee
Gospel imekuwa industry Manabii feki wana spoil ministry Imekuwa ngumu kuelewa Bila MC hii story ni tricky
Natia bidii kimziki Ili watu wajue we ndo kamili Pikipiki inawabeba Kurudi nyuma manze sitakubali
Alikuwa na ndoto ya kuwa star Risasi ishamuingiza gizani Alisoma but alikosa job Anakula matumbo amekosa tumaini
Nikamdate akanipenda Kumleta home manze akanibeba Namuita date ye siku moja
Manze anakam na mabeshte manze amewabeba
Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee
Nimechop nimeuza ata shamba Kupata job kibogoyo kuuma chuma Niko na shop amekam akakopa Si food but daily choche anakula
Ukiwa doh ni ka uko na kijiko Hawa madenge daily unawachota Napiga show badala ya kujengwa madoh Napewa tisho, nipige looku mtaani tisho
Nadai kuparty but sina kakitu kwa pori
Ndani ya miniskirt kukashika si ni ngori Na vile kuna njeve sina kesi niko kwa korti Odi hakubisha before apige koto
Najiita sonko kwa kichwa style ni punk Embe dodo kwa chumvi ka iko young Kimbelembele nakwachua we ni last We ni ras na daily unashinda butchery
Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee
Kuna baridi umekosana na mchumba wako Mtoto wako anafanana na jirani yako Ule mwenye daily anapenda chuma ametupa mbao Na umemlisha 4:20 yes akiwa tu kwako
Na hivi vipi mi nakuwanga nimemsave sweety Na ye kwa phone amenisave mtu wa takataka Ye ni keki na keki watu wengi hukata We ni takataka wengine ni wa mkwanja
Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee Inauma but itabidi uzoee