Au sio, au sio Ni genje ni mbaya Ndio manake (Made in Kibera Productions) Phlexible
[Stivo Simple Boy] Wanauliza mtaa ntahama lini Wanataka nihasi mtaa imenijenga mimi Haiwezekani, hata sidhani Wacha niwashow utam wa mtaa zetu ni gani
Utamu wa Kayole ni U-Khali Ngoma zetu zinawashika kiserekali Ukienda Dago huwezi toka Zzero Mat za Ronga zipewe makofi ya kilo
Na roll kila mtaa like a boss Stivo Simple Boy but bado nafloss Kutoka Nairobi Mandera mpaka Coast Hio ndio time ya kila mtaa kuboss
Number ni on top SimpleBoy on the spot
Dar es Salaam, Kigoma wako locked Kampala, Rwanda tumewarock Vibe ya mtaa sai ndo inatalk
[Phlexible] Uptown, downtown love ya mitaa I make them feel love ya mitaa Uptown, downtown love ya mitaa Hii ni real love ya mitaa
[Virusi Mbaya] Utam wa mitaa si ku hama mtaa Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto
[Virusi Mbaya] Nairobi shamba la mawe reason wasee ni mastoner
So niko chini ya mwamba na usiniulize mbona Hata Eastleigh siku hizi mi huingianga easily Niko Mathare hauskii na-advice machizi G
Twende Thika tuone ka tutamake Kenya Mpya Tumake mtaa ka Dubai hakuna cha chai dubia Afadhali dubia lakini maboy wasichai Wakiget high sana watapoteza uhai
Simple Boy tulia kuna wasee lazima wamedi Kwanza we ni bro kam nikusetie mahedi Zii zii mi sidai hio kitu Mi hubeba masalt hata kama siko mavitu
Line saba on top na Virusi will never stop So wakidiss mama zao si tunabig up Addis Ababa One Love mtaani tunakaa Nairo So tunabig up wasee wote hadi wa Cairo
[Phlexible] Uptown, downtown love ya mitaa I make them feel love ya mitaa Uptown, downtown love ya mitaa Hii ni real love ya mitaa
[Virusi Mbaya] Utam wa mitaa si ku hama mtaa Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto
[Phlexible] Uptown, downtown love ya mitaa I make them feel love ya mitaa Uptown, downtown love ya mitaa Hii ni real love ya mitaa
[Virusi Mbaya] Utam wa mitaa si ku hama mtaa Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto
Bila nywele nafeel niko na peace Upendo wa marafiki unanimake at this Niko comfortable ni ka nakalia sofa Love ya mtaa imenifikisha so far
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto Au sio, ndio maanake..