Helloo Tunapigia kutoka kwa radio uipandayo "Aya nimeshinda?" (Made In Kibera Production ) Tafadhali punguza sauti ya redio ili tuweze kuwasiliana.
Je unadhani mapenzi bila pesa inawezekana? "Unajua mapenzi ya pesa hizi bana kama hauna...." Samahani huyo tumempoteza.. (Phlexible ) Ndio manake!
Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra
Siku hizi mapenzi imekuwa ni Kama biashara Kuchezeana akili Kama paka na panya Hakuna love Kama hauna mkwanja Na ukizipata ni sherehe na furaha
Napata kichuna,kwa kweli amenuna Kumuuliza shida gani ashanivuta "Eh Simple boy,mimi nakuzimia,Mimi nakupenda,tena nakutaka" Kama jackpot,nilidhani nimeangukia Nikamuambia Sina hela,akaniambia mapenzi bila pesa haiwezekani Kanyaga kiatu kijana samahani Kama maji kwa mtungi nilitulia tu! Mapenzi si ya pesa ni ya wawili tu! Anayekupenda,pendana naye tu! Asiyekupenda,achana naye tu!
Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la
Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra
Ukiwa na pesa,wewe ni Kama dhahabu Utawavutia ata wasio kufahamu Utapendwa hadi na maadui na ukisota hawakujui,hawakutambui Ukipita utasifiwa wewe ni baba yao Kama hauna kakiru watakudharau Utadhani ni walimu vile wanakusomea Weh!ilishauma na nikazoea Unampenda juu ya dollar na dollar ikiisha unaanza kuteseka Ye ni sura mbaya kwa wenzako utasema Hana ngongingo,mwanaume ashapayuka Kwa nyumba ni vita tu,hakukaliki tna Kama maji kwa mtungi nilitulia tu
Mapenzi si ya pesa ni ya wawili tu! Anayekupenda pendana naye tu! Asiyekupenda achana naye tu!
Mapenzi ya pesa ni balaa Mapenzi ya pesa ni karaa raa Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra