Unapata vijana, wanaketi keti tu Wanavuta mihadarati hawajali Wanapoteza wakati hawana habari Ukivuta mihadarati inaharibu akili Inaharibu mpaka mwili
Wametulitulituli wamebaki jobless Kushoto na kulia manze wanalia Hakuna kazi, wapate kazi Waishi vizuri, waishi masaa mazuri Mambo iwe poa yaani iwe safi Bila wasi wasi
Ukivuta mihadarati itaharibu brain Utafeel very pain ikiingia kwenye vein My friend, muwache mihadarati Mseme YES WE CAN Mambo iwe poa yaani iwe bam bam Ukivuta mihadarati hakuna kitu umegain Stand up never fall again No pain no gain Mambo iwe shwari yaani iwe gudi gudi
Vijana, tuwache mihadarati Nasema, tuwache mihadarati Vi vijana, tuwache mihadarati
Nasema, tuwache mihadarati
Tufanye upesi, tuangamize mihadarati Tuwe na amani, tusipoteze wakati Naketi chini, nadondokwa na machozi Akina Hamisi, akina Johny akina Lucy Akina Mercy, wote wamefariki Manze tume wamiss-i, ju ju tu ya mihadarati
Moyoni mwangu nina machungu Si kitefu tefu na hii si kizungu zungu Vijana wamesepa kwa mwangaza, wameingia kwenye giza Mapenzi kiholela, hawana hata haya Wanafanya vitu mbaya zenye hazina maana Wazazi wao wanalialia tu eti dunia mbaya Kumbe watoto wao ndio wabaya
Nabaki mdomo wazi, Nani alaumiwe, watoto au wazazi? Kama una jibu, basi simama utupee jibu
Mimi Stivo Simple Boy nasema nahisi uchungu Nikiona dada, nikiona kaka Nikiona mama, nikiona baba Mpaka vijana wameathirika tu
Na madawa za kulevya, Mungu wa rehema Wape neema, wapate kusimama watimize ndoto yao Wawe juu juu yaani wawe malo, Waseme asanti yaani ero kamano, omwano wamkwano