Waebrania 13:4 Ndoa inaheshimiwa na watu wote Na malazi yawe masafi Stivo Simple Boy ndio maanake
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Mbona nani nyinyi mlipendana? Si nyinyi tu mlikuwa mkichumbiana Mliahidiana mapenzi mingi sana Na sasa mnadai kuachana
Manze kudivorce sio poa Inafanya watu wakuwe vipoa Pete mliweka sasa mnatoa
Mapenzi mlipanda, sasa mnangÂŽoa Ni poa kurudisha love ndani ya ndoa Take your time study mtu kabla hujamoa
Usitupe mbao juu ya mapaja Zikifade utaachwa ukitapa tapa Huku kule kama mana bata Vipi leo unachana mlikula bata - kwa haja kisha potea Sasa mwakipata pata
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Mola aliweka ndoa ni ya wawili Bwana na bibi akaweka mikakati Mambo ikawa shwari Lakini wanadamu wakageuza story
Majina matamu kama beiby beiby Sweety sweety, honey honey Siku hizi hapatikani Wakati mlioana mliweka promise
Mbele ya mashahidi na kasisi mkakiri Eti beiby I want you, beiby I need you Beiby I love you, lakini wote leo mmekuwa makafiri Mara sukari mummy, mara sukari daddy
Hakuna penzi la dhati
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Ndoa siku hizi imekuwa mchezo Mpaka wengine wanachomwa na maji moto Wanabehave tu kama watoto Kila saa kila siku ni malumbano
Baba na mama mataka maelewano
Mtaa imejaa watoto kibao Mawazo kibao mpaka kwenye mtandao Siri za ndoa zilifikia aje wao?
Tutafakari mama, tutafakari baba Ndoa is all real sio pata potea Mpango wa kando potezea Love is for two to become one Kwa heshima na uaminifu tutamake it tu
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa Ah, mheshimu ndoa Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa