Uhalifu si poa(Uhalifu) Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Uhalifu si poa(Uhalifu) Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Watoto wa kiume na wakike Wameingia uhalifu Hawafanyi vitu poa Wanafanya vitu mbaya zinaleta uharibifu
Hawatii wazazi Hawatii wakubwa wao Hawako waaminifu Hawako watulivu
Jamii inalia, watu wanahofu Hakuna kutabasamu Kisha wanasema watoto hawana nidhamu
Hawana uadilifu, hawana hata utu Hao ni uhalifu, kila siku kila mara Wanafanya uhalifu, ukiwa na kakitu Wanaleta taabu, wanamwaga damu Kisha wanajisifu ati hao ni wakuu Wahenga walisema asiyefunzwa na mzazi hufunzwa na ulimwengu Ndio maana mi nasema watoto wa kiume na wa kike Muwache uhalifu...
Uhalifu si poa(Uhalifu) Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Uhalifu si poa(Uhalifu) Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Mimi Stivo Simple Boy mwana wa Dorcasi Nina uchungu moyoni, napaza sauti Kwenye microphone vijana wetu jamani Tunawapenda kwa dhati wanapigwa marisasi Wengine kwenye ward, wengine magerezani Wengine chembani wako, makabatini Wamepoteza uhai juu ya uhalifu Is very sad inafaa tufanye jambo Uhalifu ufike tamati
Uhalifu si poa(Uhalifu) Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Natema mistari yaani natema mavocal Milio ya mgambo ikilia kuna jambo Nami nina jambo, tulia nikupe mambo Watoto wa kiume na wa kike wanatanga tanga tu kama umbwa koko Ati hao ni Rambo, wanaleta matatizo Ukisema ukweli wanakunyooshea mkono Kisha wanakutusi, punguza nyokonyoko Uliza Oyooo, Flex ama Mammito Wakupe uhondo tunahitaji suluhisho Uhalifu ufike kikomo, vijana waishi vyema Bila matatizo
Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Uhalifu si poa(Uhalifu) Uhalifu si nzuri(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu) Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)