Tumaini yote yatapita Usiku gizani, mchana itafika We shall overcome (Ndio maanake) We will overcome
Kuna matumaini yote yatapita Usiku gizani, mchana itafika We shall overcome We will overcome
And all we going through Jipe moyo Tough times become at night Joy comes in the morning
Shikilia tu Jikaze wewe Utasonga juu Mungu yupo nawe
Najua hali ni ngumu si siri sitakataa Leo kuna giza kesho kutawaka taa Shida zote ni ka candle zipe time zitakwisha
Form ni kuwa strong manze acha kuhuzunika
Baada ya dhiki faraja, pamoja tutavuka daraja ItÂŽs just a matter if time si siri siku njema inakuja Kweli we ni wa maana tena wewe ni wa power At the end of the tunnel manze tutaona mwangaza
Tumaini yote yatapita Usiku gizani, mchana itafika We shall overcome We will overcome
Hardtimes define a real soldier Si ni mashujaa na bado tuko kimoja Usikufe moyo mashida zinapotusonga Changamoto kibao lakini bado twasonga
So donÂŽt worry hii vita tutashinda Maisha ni safari ni kupanda na kushuka After ever tears kuna hope tabasamu Mipango za Mungu usilinganishe mwanadamu
Tumaini yote yatapita Usiku gizani, mchana itafika We shall overcome We will overcome
Kuna matumaini yote yatapita Usiku gizani, mchana itafika We shall overcome We will overcome