Woyoo tumemwok tena na iningris moto Nyoto mnaninauwo Still Docho the choice agagwaan Waganis kwa wale wote hawaninauwo
[Liyetin] Yeah sisemi kitu niko ritho Mimi mchanga na vitisho Nina kuja na vishindo Kama mimi kimitindo
Ninawatisha kama gecko Ama chocha like a bando Nina mistari nyingi saka medal Kama Kemboi nafanya kitendo
Nimeshikana nisake mamita Nipate kivisa imekuwa kisanga Ghetto ni Mungu huleta kipaji Na wenye madollar hutoa kafara
Yeah magecko kutisha legi Nijenge hii mwili mseme ni
Na ngoja kidogo nimade hii beat Maneno machafu natupa kwa pit
Itabidi nisake kiwanja Nijenge kinyumba mshuku shetani Glory to God kunipa muziki Nipate riziki ndo nifike mbali
Ona ni fiti najua kilami Oh ghetto survivor so big boy you know My nigga here are easy we ruling the game Na ghetto ni mbali ukijenga tupeso
[Stoopid Boy] Eneo Gotta City manze pon riverside Niite Stoopid Boy ju ni sensitive nina ride Producer nipe mic manze nastep aside Nawaambia ukweli hakuna kitu mi na hide
Hata nikirap ujinga jua bado niko right Kuna watu wameumwa hadi wamejibite Kwa sababu dream zangu zimekuwa bright Niko juu juu juu juu zaidi ya kite Lebo ni oriji bado ndula ni ya Nike Marapper wakituona kwa floor wanastrike
Ju baroda daily Gotta City Hatutambui uwaganis Wakikam ki Mbogi Genje Sisi ndio tuko na seska Mbona sipendi kucheka Kama ni mbili we peleka
Gotta imebeba magwiji Buda patana na gwiji Leo unaona magwiji Kuja uone magwiji
Gotta imebeba magwiji Leo unaona magwiji Buda inakuja na gwiji Leo unaona magwiji
Dah unaamka kwenda wapi sit down uone ticha Nafunza juu ya ungati na ubani kwa hizi mitaa Na mbogi wakiuliza jamani hatuoni raha Tuwe rapper gani Gotta ndo twote tumezubaa
Leo huwaga tiki nani, mziki ni kiki nai Ka unatufeel stahimili tuweke lipi mami We unaona hatuko ganji Gotta ndo hushika nafsi wazi Kurarua maspeaker mitaani sasa ndio radi mos
Sasa twende pole pole
Mrenge bima kwa vidole Niseme sina ju ni show game Wacha kuringa inavutaga more blames
Ukiholla kuna shida Nakulola kimiujiza Sifanyi vitu za ki giza Ju niko hapa kuigiza
[Madocho] Zoi fikra za kigwatha Snap panyu machaju walimonchoka Dwa dwa nzeza alikonyoro Kuwamoch ka ndigi Looku duich ni cheta Razy mbona gere Ukipatch okolea muiningris Vulai hanaku compe