Kama unajinauwo venye unajinauwo Monchoka ukuje ubanje hapa ghetto tukuskize Si we ni mbwegze, sisi sasa ndo world bwoos World bwoos, world boss
(Zj Addict beiby)Â Â Aha aha, aha, aha, aha (Prince on the beat)
[Pingo] Singing for my nigga now you know me Hustle for the trap for my nigga getting paper Yeah yeah salaam aleikum taliban Nikiwashikia Gucci za Gikomba na githaa ah ah
Buda ni dream ya kuwa daktari Ukasoma na sasa nacheki ushakuwa mchawi Vipi gathee mbwegze ni kuchoma picha Na Jamo Gotta City maiyo ni kujenga jina
Bang bang kula mboka ndio rieng´ Na washenzi wa gumbaru na kidungi ilimonchoka Aki walai mi napenda nikibonda Na stori za kungoja ndo zihufanya ninakonda
Chorea mbwegze wadaku waripoti Hii ni jeshi ya madonda wakivunjika magoti Gotta wazing hatutambuagi dumba Tunatambua Babu makang´ethe huropoka
[Madocho wa Kanairo] Monchoka! Waleikum salam wanaku venye Utang´ora gang ZAGA na we ni Gully Monchoka! Millitary riang´ ushakuwa bugi Inadisia time hanaku ithaa ya kiumbuthe laugh style
Monchoka! Zuzu tulishanauwo mi ndio Trump Kwa hii strap kumonchoka ni duwaaa Monchoka! Kuwamuoch inadi ukidigi docho Ni kehuti Drrrr senke uklata
[Liyetin] Back to back monchoka imevuta mlami Rap ni tough kuipanda utaitisha ngazi Fans ni trap si genge ka ile ya zamani Mtaani daaaa... jiepushe nami
Sijui ni sing unione mahali niko Na kabla hii si unadigi hata ile mbogi haiko Ama ni drill beat yafanya huoni mwito Pingo we chill burner isiwe urazi kesho
Taking slow, killing though, making days better Making know, shilling doh  Gotta siwezi sepa Na hizo forge mingi joh staki weka weka City blows to the top tena sioni presha
[Stoopid Boy] Yeah! Am waiting for my wage ndo nibuy yangu range
World imechange but sijui ni which range I want to make it but very hard to manage Everybody ninajua on the street class Hapa pale pale, hapa chuom smart pass Made of glass
Dreaming big working hard come close future Fullstop, comma, sijui sikusoma I want to be the best kila msee kuniona Ati nigga na zako ni ma dash dash Wacha ujinga fanya kazi chap chap Since on, on the streets so me getting into Nimweleze nani shida zangu sioni mtu
Mi ndo yule hukesha mchana Usiku mi nalala Idling mchana ndio sitaki onekana Kung´ang´ana sana ndio nifurahishe matha
[Madocho] Monchoka! Waleikum salam wanaku venye Utang´ora gang ZAGA na we ni Gully Monchoka! Military riang´ ushakuwa bugi Inadisia time hanaku ithaa ya kiumbuthe laugh style
Monchoka! Zuzu tulishanauwo mi ndio Trump Kwa hii strap kumonchoka ni duwaaa Monchoka! Kuwamuoch inadi ukidigi docho Ni kehuti Drrrr senke uklata