Madocho ni mjamo Kanairo Kama haunauwo hautanauwo Na kama unanauwo, utanauwo Vitu kwa yogra ni gwan
Aii Gotta City Ni mbogi ya watu wajanja gathee Ngumi ni jamo ama ni vipi gathee Stoopid, Stoopid Boys hapa chachisha Ngumi ni jamo, ngumi ni jamo rrrrr aii
Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo
[Liyetin] Nigga sipendi your level
Look around check at the label I am on the game ah mtu top Kureach the level mambleina watremble
Ghetto is ruling the game Kuroga kupora tufuate ka fame Kwa jiji tupore masonko madem Alafu tukutane kortini kuclaim
Buda sipendi vako za kukata Ju hizi gwala huwa nazihata Nipate street kutesa na looku Ju hawa wareshi huwa wananifuata
Mgaza acheze ki Odi Nakaa mshamba asakate rhumba Maybe oneday hivi nikijipa Itabidi nisare vako za mitumba aii
[Stoopid Boy] Unadeal na maweb mi nadeal na maras Unaimbia mashada na tire hujaipass Unajidai ku owe na hujaishika macash Ukinipata kwa roadi stoopid niachie das
We nigga hujai jua Stoopid goat anaiga Washa mafegi bado mi navuta maciggar Flow ikiwa kali si mafans wataiga
Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo Ngumi ni jamo
Ngumi ni jamo Ngumi ni jamo
[Pingo] Ngumi ni jamo ju chuki ni mingi kwa game Zidi kunauwo hii gotta ni city ya fame Vipi Shulailo kwa mziki utashikiwa dem Na kama hudai doh, injili ya game ni gang
Wacha kutisha, cheza na visa City napanda kupanda Wale manigga mingi ni shida na kujigamba wamama Wapi miujiza hapa kwa giza mbogi imefuata uganga Na kama ni shida, gotta ni tiba We si unalola ratiba
Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo Ngumi ni jamo Ngumi ni jamo Ngumi ni jamo
[Madocho] Monchokaaaa!!! Ngumi ni jamo eeh Ngumi ni jamo eeh Ngumi ni jamo