Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana
Hamuishi kutukana(x2)
Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka Kila siku beki leo kipa nimekudaka
We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa
Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana (x2)
Choko choko ndiyo mambo mliozoea Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah Eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda
We mwanadamu gani uliyekosa aibu Kunisema kwa ubaya Na ukiapa kwa Mungu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa