Avoid those people Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga Avoid those people
Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa
Avoid those people, avoid them Cold Nairobi still narowesa Avoid those people Life ni bure survival ni lazima
Avoid those people Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga Avoid those people Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa
Avoid those people, avoid them Cold Nairobi still narowesa Avoid those people Life ni bure survival ni lazima
[Domani Munga]
Kuna msee aliuza pena ju alipura Tunauza nyama ya paka kwa mtura Naziuza mimi na Bena bado tunapurura Ati niaje Dosh anaroll na manzi na ni chura? Niaje na ni Dosh tungempiga picha but alificha sura Ndani ya pothole nilifall na ni juu ya chingri We uko wapi na niko deng´a na si dikwara Fuck it, fuck it nilifall in love na nigri Usiwai toka mbesh Chege hio ni swara
Avoid those people nilijam sanse akahepa Avoid those people Adam ningekuwa Matheri but hangependa Avoid those people am cold in Nairobi still narowesa Avoid those people kuna matha ninge-- kibeti but angeniita thegi
Ulikuwa unasema nini brathe, tumemuoket kukublaze blaze Tuna sweeti tumerunda na bae, peremende zitakurunda ree Sa hizo ka niko macho nyanya, alitry kunishika time ya Obama Jump on them huko Burma walifanya wanakula nyama
[Sewersydaa] Naibia Paul kulipa pita kuwashow vile kamare imeshika Hao ni wa kuland walipotea tangu zile enzi za Greencard Riomo ni deadman na anatembea kotko aligongewa Last mile but execution huh, aliponea
Drunked master ki Mungas way, modafucker from yesterday
Badder si lazima dreads mi huchapa mpaka ananiita bae Anadai ye hunionanga baze hajaijua mi ni mnyama bed Si hutoka siaka mzee wakule vumbi si hatufiki bei
Quality haishuki infact usikuje na ideas ka hautoi tukis Drillting kuna sisi wazee alafu kuna hao marookies Yoh Doobie si watutupi kiasi kuna ukame si huwa hatushtuki Jiji nyuma ya hizo buildings dad amekuona akapata shughli
Mode alishikwa kamoket hadi backbench kunusa vidole Si huwasha maforeign every morning tukiendaga colle
Nikiwa madrugs mi hukeep it simple Huwezi pata verse ka haujalipa depo Pirate tulimtoka iPhone tukamwacha zero bila hata earphones
Avoid those people Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga Avoid those people Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa
Avoid those people, avoid them Cold Nairobi still narowesa Avoid those people Life ni bure survival ni lazima
Avoid those people Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga Avoid those people
Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa
Avoid those people, avoid them Cold Nairobi still narowesa Avoid those people Life ni bure survival ni lazima
[Boutross] Ushaibiwa na lighskin ukapata extra pressure Ju rende ni ronger Mrazi aliingia box nimpone hio mali na vile nimekonda Mtaani ni genje coplo na geri wana different slogan Slim alibambwa na bail ilitoka na boy akatoka Tuesday morning nishawasha kishada prr ndio Munga anapiga Ashaniingisha orosho bag ni thao
Saf wanashindwa mbona sijafuliza
Mi na mastar ni hotbox Msela alidhani ni Maybach kumbe ni Probox Tunatingisha Barley na Chrome kiHunters Si unajua hii ni formal
Rende niliskia kuna msee anatisha mmh Ju wakati imempita Lakini naskia masocialites mboka ikiisha Survival ni lazima
Nilikula mali ya Njoro Ju Njoro alipiga makali akazima Nilimpiga kiswahili ya mtaa Mbro ya mmeru na sauti ya Alikiba Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza Rende ni ronger Bouti ni AD familia trap imefika
Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza Rende ni ronger Bouti ni AD familia trap imefika
[Breeder LW] Eeh kwa majina ni Papa Fathela Warazi hushtuka niaje nilipenya Nikikafunga leo nasepa Ambia hao wasoro I´m going till December
Mi ni Miracle baby Nasema mokoro wa mi alishika mimba kwa kesha Kuna msee alijifanya seller Tukashika stock yote akatinga the wera
Kuna shugli haitakangi mbogi Bado kifo haibishagi hodi Nilichokanga na window shopping Siku hizi wanalipa niwavalie clothing
Ni kapyenga kananichoma lips Huwezi roll na sisi ju ulitrip We si gwangi buda we ni bitch Compe ni compe na compe ni stiff
Ah breakfast in bed na niko na sidechic Raboni na stiwi inacarry Henny nacop juu wikendi ni shwari Shati Versace na imepigwa pasi
Tangu enzi za daycare Nilikuwa natoka hawa watoi mabano Walishindwa kunihandle ka sufuria moto You know the boy be sturborn
Avoid mafala wamejaa Ujinga ni ugonjwa wa kupona ni struggle Nikipullup lazima utanotice Mi huonekana kama Atwoli in purple Na hii dunia ina mambo Nikisota nakinda kid ni ng´ambo Niko na TK bado top 3 kama jezi ya Carlos
[Abass Kubaff] Mi huroll incognito, jicho nyanya mfuko nzito Madigaga ah za mbao ju mi huwa na avoid some people Unafaa kujichunga wadingo na ma cargo huwanga za imbo Makarao watapiga na pingu na do biz na machinku
Nairoberry kudiambo kwa traffic tinga mawindow Kula rada tafuna ritho ama utameza marive Promoter junkie mwenye show make sure amkudunga ka depo Ati concert bila malipo ah ah na avoid hio risto
Unafaa ku aoid those people watakuwekea mchele kwa disco Watakuingia mbosho ukishachemsha unafungwa chipo Yule boy huwa snitch naskia ye ndo hunyoa info Anajuana na mafivo ndio maana ye hutembeaga na pistol
Woh oh leo sitaki matembo niko maji kushinda Migingo Itabidi nianze kudetox yaani kupunguza stingo Waba imenifika shingo ndio kwa maana niko indoors Natembea mtaa nikitiptoe, sshh na avoid those people
Avoid those people Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga Avoid those people Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa
Avoid those people, avoid them Cold Nairobi still narowesa Avoid those people Life ni bure survival ni lazima
Avoid those people Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga Avoid those people Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa
Avoid those people, avoid them Cold Nairobi still narowesa Avoid those people Life ni bure survival ni lazima
[Elisha Elai] Avoid those people vijana ka sisi -- hutuavoid Unachachisha na mamwiko Maseska vidungi ziko kinena Udj hapa hakuna toy Wikendi toja na olipo Ketepa na njugu saa zile hakuna vurugu ni kujienjoy
Sinaga maneno na people Elisha Elai toka kitambo Ndio maanake I´m a simple boy Hizo vitisho zenyu mi siingizi Niko 20 na unaninyima usingizi Ni 4:20 kila siku huku withii Bila senti huku haupiti zii
Hapa ukicheza dondi pupupu Nikipita wanageuka bubu Ju mada hapa ni kama Elani kukuku
Way before kina Gidi already I was unbwogable Itabidi mpunguze bonga mob Ju mistari zenyu ziko terrible Here we go extra pressure inazidi ju rende rong Iko jiji inatesa tu kila zone Hii riziki ya mziki itakuja call Tunasaka money mpaka Senegal
Ka ni hater ni better uniavoid Ju ni ngeta utakulwa ukipatwa boy Wanateta tangu nianze leta voice Ju nageuza marapper wakae watoi Nakuja kijeshi, nikiroga wanadhani Vigetti Tunasonga hakuna kusleki Mi ndio thegi anasakwa Dando na Hessy
[Dyana COds] This time I tripple Mi hufanya ukuwe cripple ka doggy nakuita na whistle Avoid those people deng´a ndio whip At people infact venye mi huleta vitisho Ndani ya nganya mi hukuja kuwahanya Mistari niliandika kama nimetoka hangdown
Venye rende ni rong mi hukam kuwashanda Most definately after this ni matanga Routes ni za panya hakuna choche utanikosa Salute ju namute hao madem ju ya mboka
Mi hutaka hio doh ka Omollo nai conquer Si acceptigi loss main goal ni kuomoka Tangu lini uskie queen ana-argue na mboch Of course mi ni boss nakanyaga ka roach
Niliruka kwa mbaru nikadara huyo popo Nikamuacha akicheza na lotion Mbleina kwa sisi tunachomanga picha Ka santa natokaga usiku saa sita
Usiku na lila ile ikilala italika Last victim kwa crime nilimwacha akiwika Ka mtoi kwa crip nilikeeper Hadi mchombez nilimuacha akijipa Nikamshow after this ni kulipa
Underdog mi nawasmoke ka fog Ka bulldog nawamaster ka log We ni alog nakuombea kwa synagogue Then nakuweka kwa dustbin kuflog
We ni monologue, ningedai alone Siwezi share throne mi ni ka hog Ka lapdog nawatuma kwa choo Then natokea kwa scene ka snog
[Scar Mkadinali] Man fck those people mi ukinicheki avoid me Nikiwaga riko na kibro ni kifo Lakini alidedi I´ll join him Nina kilo kwa tiplo Na ng´ango hatusleki we boiling
Mlishindaga Tiktok cheap talk Na kila time tukikutana hambongi Rong Rende ni vitimbi Hater alionanga majogi
Huyu anakuwanga ni pimbi Kwanza, kwanza nilimpora na dogi Kile hunirudisha jiji Ni kukula Nyama choma Nairobi
Mi nilipataga bibi kijana bado nakuona na mbogi Baba unabonga na mabudeng´ hapa lazma banga atakuja na mabunde Bangaiz na bangi ju hanaku rieng Jaba ikuwe inadi na andasu kuberr Hii ni wazea na mabudeng Wakiuliza ni jea najibu maberr Natoka wera narudi kwa wera Ni nini masela mnataka niwapee
Hatuwezi fanana just look at us Huyo mama ananiramba na ananuka jasho Chini ya maji undercover nikivuta gas Na sisi hatujatupa rada ni kukula vako
We piga pang´ang´a tunakuja kwako Kesho utanipata nimedunga chuja zako We si gangsta ati ju umefuga ras Na nikifika lawama si wanajua ni Narcos