[Afvrika!] Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious East maisha ni magumu Alikam na jaba akadhani ana nguvu Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious East maisha ni magumu Alikam na jaba akadhani ana nguvu Si tulimnyonga na njugu
Koro zihunipandisha mahanjam Tangu mistake kiungware nikulet kiutepa
Mokoro yunichangia darasa Wiki ya pili must nichoree mest nahepa
Mworoto tunapenda rio nipanic mix na Barley Jo fetish katepa Wasoro wamenikwamilia kwa rasa Ilibidi nimesare hizo fake tissue papers
Bora bezenga kwa njia ni aoshwe Si humtokea na nyuma Ni ka exile ya Tanzania manze From early noon ni magode hadi kucha
Ju hadi after wasee kunitambua Nairobi alumni Mayonde alinuna Yumshow msela TZ mwana FA nakuombea ukimuja Score na fathela Busia omwana efue aliongea na kiluhya
Tunapiga round kundi sita Ugenya Vipigo na kisu kuthigitha mbeca Ikinirudisha jiji jua ni ngeta Weather iko na hoodi jeans chini ngepa
Ukishindana na mimi utachizika Kushindana na sisi ni kujizika Utarienga ukipingana na fisi kuringita Ukiiguza unalipa
Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious East maisha ni magumu Alikam na jaba akadhani ana nguvu Si tulimnyonga na njugu
Kenya defense iko strict kwa border hakupiti maingwa Na vile kumejaa immigrants Judge A, Lawyer B, na karao walipata C- What a line up
Round imesimama, back home akapatwa na plain Sema kushandwa Hao usiwachenge ama wa kutafuta bail Weapon si gun pekeee Mtu wangu jo tunaweza kumada na pen Ulimi pia hudefend, uliza peng alievade aje rent
Form ishachorwa, cheki cheki pretty auntie amevaa dera Whistle blower, Central ilikuwa David Sadera Naogopa tu kelele ya umbu, huku jo hatuogopi malaria Utaibiwa mtumba na chuma You too yut haogopi kuumeria Roumour area jana magiza walidunga rumba wakasepa Nduru Kibera walisikilia Madiwa ikasemekana later
Niliambiwa nicontrol hio temper Ama nitupe hio deng´a Aje na fan alidai mi si gangster Ni venye mi hutema
Show walitucall last minute Na hatukupunguza hata tenga Blankets walikataa niingie Na wine yangu last December
Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious East maisha ni magumu Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious East maisha ni magumu Alikam na jaba akadhani ana nguvu Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso Nafeel mi na badder bing tulichesswoh Private jet na ni chest na suicide bomber Aligenya ma inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu Alikam na jaba akadhani ana nguvu Si tulimnyonga na njugu