💃🎤 Paroles de chanson Française et Internationnales 🎤💃

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Wakadinali
Titre : Clean Sheet
Drinks ndani ya dinga
Sidechic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber

Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga

Drinks ndani ya dinga
Sidechic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga

Nimepigia gwanda kikanzu ni ka niko Dubs
Manyuza hunibamba kwanza za Ayub
Ochu kalistafisha rice maaruf
MO1 kidogo ago crazy ´82

Tupwa kwa buti ukijidai ops
Uende sao tao majuu utabak home
Kama uko alive but broke
Ama dead rich huku peng ting ni ngumu nimshow click

Enzi za mcheti ziliisha ni sofe
Kulwa blindly kwa giza hapo pet in
Made in KE usimwage hapo Henny
Meditating tushachoma hedi

Slayqueen alitaka kuenda na mimi
Dini inaruhusu nibebe wawili
Phone ndo msingi na phone haingii
Jo ningenokia mokoro wa Cindy

Drinks ndani ya dinga
Sidechic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga

Drinks ndani ya dinga
Sidechic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga

Nikikushow toka nduki basi do faster
Mi hukujanga kama hawkers
Outer road hawa marookies ni ma new hustlers
Wasee wa GOT huniita white rockers
Shori anawish tungeishi like this forever
Hajali nani angonya at this endeavour
Sisi na masanse hucheza rock paper
Seasons za kushika who tha girl ubebe drinks na mamzinga

Niko na namba za kila warden mabros wakitingwa

But wa round this alisema ilikuwa kubwa hio call walitinga

I used to be an African slave
Now am free from the shackles
Treat me like a bat am gon´ turn to a scarecrow
Naskia buda si ubebe rota na hivo ndo niliota
Kudrika fiti East naishi pabaya na nimeng´orota
Si huzisundang´a kwa mkebe za makaa
Tukitembeza drugs hadi kwa duka za masaai

Drinks ndani ya dinga
Sidechic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga

Drinks ndani ya dinga
Sidechic ni dream gal
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na maTimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga