Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa Mimi mtu kama mimi sina bunduki Sina bunduki, na hivyo DCIO GK wakuje watusaidie
Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro warelate Ni mapro marijuana
Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu
Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro warelate Ni mapro marijuana
Nguna ana fake accent Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu