Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda I´m not gonna do this games Tempted to quit my day job Lakini obsessions zinanipa extra pressure
Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa Zinanipa extra pressure Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda I´m not gonna do this games Tempted to quit my day job Lakini obsessions zinanipa extra pressure
Ye si activist inakaa hujui maana ya active ni But is lit tumejiindas tu mtaa na mangeus wa varcity Highschool zii hatutaki scene yoh Si tuna ethic si si wa-rekless G
Arif alipewa long ride juzi, life mara mbili fifty Eti alikuwa wrong side saa ya shooting acording to briefing Live bullet si hupata straight from KOT Ndugu ya Suleh visually wananiita DOP
On the loose ka Danshmida, hawakujua tukiwa-configures Always ye hukuwa speaker mpaka motion haziwezi pita Constantly namba moja jo nina goro haziwezi isha
Robbery juu ya goro ndo alivuka na sadaka ya Citam
IG Bonnet the retired of late IG model si mtam heri hata ningefish kwa lake Niliambia shawty asikam mtaa kama hajapiga tenje Last seen nare haikuenda bie nilipatwa red handed
Afande aliniambia nisirande rande ataniingia kibare Savage worker Monday niliingia offe na open Nikabonga na biggie matope, ng´ombe iliona mi mnyonge Rhymes zenyu stolen pia kicks na whip hamko balling
Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda I´m not gonna do this games Tempted to quit my day job Lakini obsessions zinanipa extra pressure
Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa Zinanipa extra pressure Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda I´m not gonna do this games Tempted to quit my day job Lakini obsessions zinanipa extra pressure
Sijai bakishanga tot ndo niroam Nairobi Na ni ju ya baby daughter Naskia kuna vital parcel imedrop Niko ready kuichota
Southern Province kwa ploti ya blue Ndio mahali huyo mjoro anatoka Fuck what the poin is Even before Covid-19 nilikuwa heavy smoker
Hivi ndo forward mi huendaga Contraband illegal kwa masachet naekanga 24 hours niko locked na my girlfriend Si hivo ati Corona inambamba
Na sijai ogopa deni Naitwaga dochman mwizi sinaga profession Last time hiyo pandemic
Nilikuwa lockdown two weeks bila hata provision
Ni rat huyo mgirl huyo shori ni msoo tungejuana Shida ni mrongo Mans niko action packed, wasoro ni misomo Kitu wananishinda ni mdomo
Hii ni bigdeal clip Vile nawamezesha loud maridadi Na si huwanga mabangi miraa Last victim kwa crime analia Nilikazia rough na infact alikuwa lucky enough
Gware alfariji tuko on unaeza dhani ni majira Niliraukia marikiti kubuy na naskiza muratina Rong Rende siwezi cook hii under anga Ndani ya rental sema mama pima Chini ya kiti nilikuta bro ameficha
After kusanif besheni mzima
Si fyuks nilishoot operatives mapema Sijai penda fans kunishout out na temper After kukang´a na cash out nahepa Nimewekwa marufu natepa
Utawika kwa ngeta Nyonde zitahepa kwa mti kwa nectar Mi ni Arteta, debt collector Mrenga ni wrong inaka ka ni Audi inasepa
Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa Zinanipa extra pressure Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I´m not gonna do this games Tempted to quit my day job Lakini obsessions zinanipa extra pressure
Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa Zinanipa extra pressure Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda I´m not gonna do this games Tempted to quit my day job Lakini obsessions zinanipa extra pressure
Uh walidhani kovu mi nacheza Until wakacheza na pesa Mbleina alishandwa jikoni kwa keja Utashindwa ni damu ama Peptang
Beef miaka kumi naweka Manze unaimagine hio pressure Msupa anadai hajanyesha Pressure pressure extra pressure
Ready for war ah Ndio maana si hudishi sembe kienyeji na raw Morio ni pedi na alikuwanga na mtoo Lakini mabanga walimshika na ndom
Hii rende ni rong hii rende ni rogue Uh rende ya Umo
Mahali mi naenda we huwezi kukam Wananiita the African Al Capon Cheki seti, sensi medii Skele anadai tusele Ju hii ni geri ina geri
Talele ya Lulu na Mr Berry Nina mandugu nalisha daily Ogopa waroro wanaitwa Njeri Lakini mi nina wawili wa Nyeri
Life inachange Fans wanadai ati Scar si anamanga fiti Tulishinda kwa magazette Siku hizi tuko kwa ma-cover za magazine
Ovacado juu ya bread Songa kando nyi watoto wa Margarine Hapa rapper hawezi make Aliacha kuroga siku hizi chali anasing
The cool with the kid Still with the homies We are fooling in the crib Haijalishi ukibonga Mi bora mikule nifeed Nishute ni pee hahah
Sidai shit hailipi Cheki jo mi huwanga king Side chic ni haringi Wife alikuja na kids