Nyamaza, nyamaza Nani anamlipua? "Mapolisi sita" Wamemlipua risasi kumi na moja Mtu mgani "Sijui amelala chini" 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7
Maaskari saba, mtu mmoja
Nyamaza, nyamaza Nani anamlipua? "Mapolisi sita" Wamemlipua risasi kumi na moja Mtu mgani "Sijui amelala chini" 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 Maaskari saba, mtu mmoja