1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo
(Hitman Khat)
1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kkikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko Msichana anajifanya pengting na tunajua ni chura omoroto
1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kkikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko Msichana anajifanya pengting na tunajua ni chura omoroto
Bad man kila sector hatunaga ethics labda Seska Macho nyanya sura gangsta na msupa wako hukutuma ugotee Scar Hahha, haina pressure, biz ya kukeep it real haina pesa
Rende Mungiki mi ni Maina Njenga, Kweli mlirauka but mi nilikesha
Sojonya mazishi na ukibonga unapigwa bakora kwa kichwa Na unachoranga giza na huyo shore ni ong´oro Ukiroroa ati bora amejipa Unachomanga picha, mi nikichoma nachomanga mbichwa Umechwara umeparara na unaamkanga na maguarana Ushakuwa ka ndranya utaporwa ukipita
No faces no ID, no faced on IG Many fuckn rappers no idea tuwataki hapa we don´t hide shit Hio mbogi ni roumour, mnapendaga ulimi And I swear Eastlando hatubebagi chuma tunabeba upini
Ndo mtajua hampimwi
Still underground rong toke before Na usipime mathao so fck official Wakijisunda makobro nitakuwa riko jo Watakuja nisahau nitakuwa jikoni
Back in the wood bro nitakuwa jikoni Rende ni rong bro nitakuwa reforming Pesa ni mob lakini sioni Presha ya roho inabidi sioi
1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kkikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko Msichana anajifanya pengting na tunajua ni chura omoroto
1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kkikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko Msichana anajifanya pengting na tunajua ni chura omoroto
We don´t care nikinyanya ni mangolo Niko mansolo na niko under so clock Plus napolo na kolo Mtoto jo anasumbua tuzame Dar mpaka Moro Hatu-worry tomorrow we got the hoaden Bado si huzoza giza totoro
Smoke loud yaani live on air Kushinda hata man Gidi na ghost Pia MPESA tuko inadi vibaya
Especially ka pori imelock
Clean bandits on the road Last seen ndani ya ndae imesukwa ina machrome Flani long lasting kama Wanjigi Zile ndula za ma ops
Si parkingi na ma fakes hizo siasa siko niko simple Previous client huyo mshenzi ako ovyo Mbleina yu rukanga ceiling to floor Nilicop back the Hammer but Celtic iko off Tukicrush mfupa bila meno kabla hatujameanga ma canines Now I´m the super striker hii maneno Unaeza niitanga Shakes Makena
Hausikii si ndo hupeddle ma Gbag mjini
Na siku hizi bei ni LA Plus hizo stori za ma informer siskizi Mchizi try CNN
Broad daylight pickpocket Pigwa nyongolo man hatuna wolde Naskia si ni ajab kana kwamba Hakuna haja ya ku-creep ni kupata
1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kkikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko Msichana anajifanya pengting na tunajua ni chura omoroto
1st class SGR nadondoka chopper na Joho Burna Boy kkikolo nilisukumiwa MPESA na Jomo
Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko Msichana anajifanya pengting na tunajua ni chura omoroto