Haina noma una namna Tuseme bora uhai haina maana Achia noma Maulana Life kwenye street kakikiumana Ju kuna siku youth wataungana
Kuna siku youth wataungana
Haina noma una namna Wakadinali Wakadinali Mtoto wa mama
Haina noma una namna Tuseme bora uhai haina maana Achia noma Maulana Life kwenye street kakikiumana Ju kuna siku youth wataungana Kuna siku youth wataungana
Haina noma una namna Wakadinali Wakadinali Mtoto wa mama
Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
Ubesh Chege eventually chunga Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga Ndio tuchokeshe njeg´e, Kibronj aliisunda
Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa Tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa Kuna watu ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster 2020 hatutaki trouser kuwararukianga rasa
Tukivunjwa goti bila kushow ka Hussein Machozi We si player, bali diva, umekam ku-strike a pose GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi
Naiwasha ndani ya ploti bila kudoze
Wao wanawashwa wakiwa juu huko third floor na hatutemei kikohozi Mi ndio Simba nina Kovu, so ka we ni swara muja Still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya
Haina noma una namna Tuseme bora uhai haina maana Achia noma Maulana Life kwenye street kakikiumana Ju kuna siku youth wataungana Kuna siku youth wataungana
Haina noma una namna Wakadinali Wakadinali Mtoto wa mama
Haina noma una namna Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana Life kwenye street kakikiumana Ju kuna siku youth wataungana Kuna siku youth wataungana
Haina noma una namna Wakadinali Wakadinali Mtoto wa mama
Wataungana (Wataungana, fanya mambo) Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando) Niku-nikukazana (Westie to Eastlando) Wata-wataungana (Wataungana, fanya mambo)
Wata-wataungana(Wataungana, fanya mambo) Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando) Niku-kukazana (Westie to Eastlando) Wata-wataungana(For real, mmmh noma sana!)
Ni ile design nimejihumble kwako, Baba Kila inaumanga, Eastlando hustle nadra Kinagaubaga na-feel sicker nayo Tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau
Sina makao, ndio maana nimeishi kote Ka Sila na Paul, milango zilijiopen Casino za tao, mipango zao ni all same Nipate, nikose, nisote mpaka nikope
Compe ni shughuli za dunia Kuwashow waconfess ni kupuliza gunia Kwa wale wote walo kula mascar Hutabaki njaa mpaka siku chura zafly Jo, madawa, vijana wetu wamepagawa Wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa Mambang´a wanachinjwa, wanagwaya
Jiji na mabanner tukishindangwa na gava