Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba

Mi hupanda bei ka irori naeza lipuka usiworry Chupa ilimkuta na ati ana mbogi Ukiwa mbele yetu hubongi Full tank hapo Kobil, Tupac sai ako na Kobe Shuka iliangushwa Baba Sofi akaona vitu hangeona usoni
In and out of Kamiti, judge alidai hakuwa na motive Arif aligeuzwa kamisi nditni, bar zinaangushwa Tunahepa jela kama Maina Shimoli Siste alienda kombo, siku hizi anadunga ki-Tomboy Tomboya street toa doh, lala chini
Jeshi ya Figtree tulitoa lock hapo Equity Hands up 211 iko live hapo Citizen Wardrope kila trao iko na yake Kubwa kubwa majackets  si itos watukanje Murder ilifanyika promoter alidai kudishi na Talent, Aje?
Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba
Roll like a real black man Tom Mboya, PLO Lumumba Lockdown curfew, nyumba kumi, geri iko kwa nyumba Is my country ndio maana 21 Savage mi huzisunda Kaunda suit like a black ama Nyerere, PLO Lumumba
Juzi nilienda bash nikadate local Indian Kibodoria sai wako hash on my social media Mi and my shosh juzi ghetto tuliponwa rauwo There is no evidence kumada Fidel mtoto wa Rao Body and soul spirit iko isolated I got no heart no Munga nafeel so corrected In one month nilikuwa booked over seven venues One man nilipull over kitu eleven kwenu Me and my classmates juzi juzi tulimanouver in silence Since kindergarten tulivunja louvers into glasses
You said kwenu mna guns it is easier said than done Pull up in Islamabad, in Pakistan, Tehran, Iran, Afghanistan Nilitingiwa na OCPD fuck your experience ilinitriger my OCD
Read about minding your business, 2nd Corinthians Hiphop mimi si comedian na wala siifanyi ju ya social media