Wera nayo nayo ng´ang´ana Pang´ang´a hapa kando Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos Woke up so early Bado Malaya wangu ako kando Na si mama wa kwangu Ni sister nyang´anya ako hustle
Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Woke up so early Bado Malaya wangu ako kando Wera nayo nayo ng´angana Pang´ang´a hapa kando
Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos Woke up so early Bado Malaya wangu ako kando Na si mama wa kwangu Ni sister nyang´anya ako hustle
Wasea nduli ni sisi, mtaani maskani ni deep New school kids tuko fully equiped Hii beat ni heavy plus hii shit ni crazy Tunafaa tupitie super highway hii weekendi
Fans wanacry TRM, Â Garden City, Natives Si huletanga hits Glow na Tshirt, british nevilla Msee huwanga potential na biz Ndio maana Munga hapa siwezi bagua adui Sababu unaeza mkula tenje ndio ajue hajui
Kumfagia teke teke ka ile hardware ya juzi Angalau hata mimi nipate Nakumbuka nikihustle mashimoni ndio nisake But siku hizi niko surprised nashangaa manze Venye msupa ananidai na hata sina deni yake
Hizo ndo zao mahater ni ma flower girl Ka Chebukati ati sinanga shower gel Sabuni ya vipande
Hivi venye hizi chopper zinapatrol huku mtaani Consistence sote tunajua that hii sio coincidence Jione mjuaji guarantee to police chase Ju ngeli ni njora mara liver na ripcage Incase hujajua hapa adjustment ndo business Si tumetoka mainstream ka ile river ina leakage
For the don, Kobe giant tukifanya hizi moves
Mi ndio Lebron Kobe Bryant aliskia akani approve Reason Kenol Kobil client waliniskia ati na groove --------
Wera nayo nayo ng´ang´ana Pang´ang´a hapa kando Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Woke up so early Bado Malaya wangu ako kando Na si mama wa kwangu Ni sister nyang´anya ako hustle
Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos
Woke up so early Bado Malaya wangu ako kando Wera nayo nayo ng´angana Pang´ang´a hapa kando
Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Welcome to Eastlando Venye tunamangana manangos Woke up so early Bado Malaya wangu ako kando Na si mama wa kwangu Ni sister nyang´anya ako hustle
[Scar Mkadinali] Hahaha welcome to Eastlando my motherland Come from the bando kung´ang´ana men Usijichoche East ni lawama men
Kuna maboy  hunyang´anya mpaka mabang´a fe
Ka ni kunuka si kanuke si ni sawa itepe Coward boy tunakujua kama kawa uhepe Suka beat ndio mtaa waipende We umepata juzi hit na ushawai pembe Badman tings wacha iende Mama alisema niogope nyasae kende Kazi ju ya kazi katanasa wikendi Ka ni yako itarudi kwa sasa wacha itembee
Huh sa we roll with the business Black man fresh nikinyonyaga guiness Unanimess na hujanionanga TV Unanichase unanionanga chizi
Hii ni East man tomba marendezey Ka ni biz unabonga na manangerr
Piga chizi ukichoka mi niendelee Hizo streets mi ni donda na mi deree Zero chills nipate mbele Kila scene ni ku boss up mi sibembelezi
Ah kumangana manangos ni lazma Mabang´a ka narcos kukanjwa Mablunder Eastlando ....