💃🎤 Paroles de chanson Française et Internationnales 🎤💃

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Wakadinali
Titre : Morio Anzenza
Yeah, reputation ni same
Gang ingemblain ningekuja na ndeng´a
I can´t believe this day
Nilitoka jail nikakujiwa na dem

Hii ni ya day ones pekee
Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji
Wa Mukuru kwa Njenga

Reputation ni same
Gang ingemblain ningekuja na ndeng´a
I can´t believe this day,
Nilitoka jail nikakujiwa na dem

Hii ni ya day ones pekee
Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji
Wa Mukuru kwa Njenga

Mi huzoza mamzinga
Zile kali kali kama shuzi za simba
Mnabonga mtanishika shati

Kwa keja ya mabati
Mmejificha wapi?

Mi huwanga na dinga
Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa
Huezi nitishia life
Mi nilikuwa na du street na party party
Nyi mkivishwa nappy

Mi ni Rong Rende, boy machachari
Say it to my face unabeef kina nani?
Oooh my gosh samahani
Nimeitisha bado mboga plus ugali flani

Hizi side miracle hazifanyikagi
Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
Rap game haitaki chali
Na usishangae mbona! Ju ni mimi nimei-marry

Lay down flat, stay in your lane
Incase haujajuwa utapepetwa
Serial killer hatu-fightingi terror
In short tume upgrade weapon

Fake ass niggas, back biting haters
Kazi ni ku-update status
Wivu juu ni serial paper chasers
Kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre

Mi sichezi wazeiya
Mi ukinicross utagenya
Kuna dem anashinda akiteta
Akikuja asipate mbogi kwa keja

Fine gyal lakini huwezi sema
Pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya

Mayengs hunipenda
Shori denga anataka kuchukua selfie tena

Sisi zetu ni hustle
Acha tukuwachie we king castle
Managerr alirudishwa home
Ju promoter alidai kumeet doshi in person
Niko kuber na mandom, eeh
Pale Instagram I wrote this caption
Munga mi hutembea na machrome
Ata nisipo-act
Utavuliwa na kovi vihasho

Siendi, siendi
Waambie watafute plan B
Ndio nikuje watume kwa Pay Bill
Nyi mapromoter siwapendi
Shughli kubwa huku spending

Hakuna kitu fupi ka wikendi
Ongea bas, what you can´t be
Appearance, 10Gs

Nikizoza hawapendi
Hii ni ya Gikomba na ni Fendi
Huku ni kubaya nimeona mengi
Mpaka manugu malaya washenzi
I never knew they will play me
Namaanisha kwa radio na telly eey
Revenue looking crazy
Nitakodesha ka Benzo na Bently

You talk much hautendi
Youth fund iko pending
You fvck niggas just can´t be
Serious bullsh*ts trending
Eey these old niggas can´t bear me

These new niggas ain´t family aah
These old niggas can´t bear me
These new niggas ain´t family

Nakuwanga rob
On the low but naeza burn na Boy
Kidogo nikang´e banga wine
Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy

Obey babe(yeah)
Obey babe ....
Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali
Mi mkali niko ndani ndani Kamari nafika bei
Bila chali nafika nafika bei till Diani

Mtoto fulani, bei kali
Lakini rhyme flow fiti ka Yeezy
How many times imma tell you this

I need a nigga like Kanyari
He making na money
He making na mummy go low

Ka cheese nitakulwo
Filing nda lengo
File nda brew her
The brewery Bella Rosa
Cheki manzi bila ring
Jegi fiti, bila fake
Wanadai kunifeel

Obey baba hii ni real
Obey baba hii ina killer
Aki ya nani na kill
If ulionaga kwa misitu
Panda miti bila kitu eey

Listen! Ati ma slay ni wale wa
Obey baba bado mimi ndo ule wa
Shika hiyo ladha, taste fiti kama Lager
Haga seti kama ladha, fika hiyo bei

Reputation ni same
Gang ingemblain ningekuja na ndeng´a
I can´t believe this day,
Nilitoka jail nikakujiwa na dem

Hii ni ya day ones pekee
Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji
Wa Mukuru kwa Njenga

Reputation ni same
Gang ingemblain ningekuja na ndeng´a
I can´t believe this day,

Nilitoka jail nikakujiwa na dem

Hii ni ya day ones pekee
Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji
Wa Mukuru kwa Njenga