Uuuuh, yeah yeah yeah Kama si benzo, mrenga ni bima Kama si benzo(Yeah yeah)
Kama si benzo(Yeah yeah)
Mrenga ni bima(Skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini?(Yeah yeah)
Kama si benzo(Skrrt) Mrenga ni bima East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Kama si benzo(Kama si benzo) Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali(Akili hailali)
Kama si benzo(Kama si benzo) Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Akili hailali, akili hailali Chapa tizi buda ni ka ni fainali Washa jiji unga ka ni halali Na ikibidi Uber ka sina rari(Yeah yeah)
Hii pesa ninayo ni ya mziki Juu ya street hainitoshi Nasepa karao, masnitch Sijitambulishi na mikosi
Style mbichi sijai fosi Life in crime sisi na itos Mblein jiji tunaikoki Gang gang chain hubidi na floss
Msupa sly ananiatuti aha Nishagamsuka naachia mbogi
Design ka haijipi naiboza Walai sifaidiki na hii topic
Yeah mabang´a wako paid Lawama kwa game hii jiji ni yetu Kuna fala alinifanya nijam Akaniomba msamaha na mi si Yesu
Bima ikibidi lakini Nazozanga benz mbili na ni rental Nina msupa hupenda vitu ndechu Lakini ni ya gang ni yetu
Kama si benzo(Yeah yeah) Mrenga ni bima(Skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini?(Yeah yeah)
Kama si benzo(Skrrt) Mrenga ni bima East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Kama si benzo(Kama si benzo) Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali(Akili hailali)
Kama si benzo(Kama si benzo) Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Jamaa flani juzi alitense Venye rent ilitry kumpiga maukapi Nilimnyonga saa hiyo niko mabangi
Mnjoro akafaint pindi tu alimnusia armpit
Na vile nilikwa nimempigia kambi Fuck it, manze nafeel nimewaste hiyo dhambi Police oncoming niko like fuck it I just need some more few seconds
Niko mahali siwezi kubali kutoka bila anything Juzi nilikalia mbao nikashuta Nimetoka prosecutor mtanikumbuka Niliwapora mamilioni wakanishika nikazisunda Sahii imebaki ni wao kunisuka
No faces kama warges Ndani ya balaa clover niko missing Straight deep undercover Hatupay attention hizo details
Hatuworry about hizo faba za kushikwa Na mama mzazi hajadishi Maana -- ka wiki jana ya black Najua kuna siku nitajizama
Mi ni racist najulikana But fuck it my dream Mwage ni ki German So bro jua
Kama si benzo(Yeah yeah) Mrenga ni bima(Skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini?(Yeah yeah)
Kama si benzo(Skrrt) Mrenga ni bima East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Kama si benzo(Kama si benzo) Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali(Akili hailali)
Kama si benzo(Kama si benzo) Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Friendzone kwenye benzo Kachimamo but ni kama kananyesha Nairobi finesse, mboka ni mbex Niliskia mboka ni mbex
Friendzone kwenye benzo
Kachimamo but ni kama kananyesha Nairobi finesse, mboka ni mbex Niliskia mboka ni mbex
Kama si hii mziki Ningekuwa jiji nikipona masela Ambia judge akule mafi Mpaka siku tutaonana tena Otherwise form ni kuchoma mavela Kuchoma rada na kuchora vile Nitapata kiki juu nilisikia siku hizi Swagga ni kuzoza na---