Yoh, free hustle man Free hustle man Fvck lockdown (Big Beats Afriq) Afvrika! Wakadinali au sio
Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
9 Months unatry kudeliver Hatukuonei huruma ukuwe unless una mimba Ngwai East imepeleka vijana wengi Inda ItÂŽs high time Kenya ikuwe legal Ni heri uangushe kinde CBD njoka wako rada Ukikojoa watakushika
Mr atleast try jo kubehave Staki damu imwagikie my lean and T-Shirt Naskia mnanitafuta huh, mpaka mnanifuata kwa duka Stepper mi hukanyaga kubwa Ukikuja sana perhaps utakulwa Unafaa kujua nani ndo kushuta Before kunukisha hii mtaa unaweza chuta
Mbepa si hufungia gunga
Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga Mi huflip ka beats za Afvrika Niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller
Mabiz za mpini si hupiga Kwani si ata judge alipardon killer Splash splash tukifika Itoka inaspark ma opp wanaitika
Trap trap to saa tisa ni mboka Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika Nimeona Subri ikinipita I think kwa hio rounda scene ilipigwa
Bruce iliskika street iliwika Black alikam akanyambisa Naskia mi mchafu spitter Ni ka mi huandika hizo ngoma kwa pipa
Kudus informer though hawakunipata Nilikuwa na operate na Bipa
Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya
Kuna venye Covid naitii kitu moja Daily coro 19 nilinona Cyber ronging in different location Wolan tunaiduingi normal
Fake kings nazidi kuwawinda Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan Hii ndo dimba Peng ni ayela msupuu Mans na Domani naishi life bila filters
Sina hadi maarifa Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga naye Insta ni Risper
Nikihama mi huenda na kamba za nguo I wish ningekuwa KPLC Arif alikuwa MCA, sai ni MP anarepingi Westy
Sikumeet huyo msichana no no Nilidate hio vigina Ndoch una manzi mdechu Ushaimwanika kwa mneti hapana
I was high in school man a driller Tangu enzi za Insyder Nina ndoto ya maziwa mrefu Inaweza lipa debts zote za Mchina
Watch what you are talking kwa pot Timeline yako ina TikTok Nina maboyz Kise huko Ngong Walipanua riko sai wanamanufacture Richot
Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire Huh! Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
For Real! Heri nitokee siwezi kukutusi Twitter mimi OCS OCS alisema tupotee na tusiwahi rudi mjini Wananiita Dangote na mi sijui kwanini NyongÂŽinyo zangu zinatee sivui viatu nikiwa kwako mimi
Hii tenje ipotee nishakuwa Hoodini Sanse atokee hii ngwai haizimwi Mi sinanga Fee bado najiamini When you see me better hashtag easy
Deep down they wanna be me Hii mtaa chini ya maji niko na dini Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi
Wakiniona ni rizla na ganja Nikishawachoma girimba narambwa Mama mboga anachezaga na rada Alinicall akanishow safisha unasakwa
Ju nina niggaz waliiba na ALBAB Pandishaga middle finger kwa media na cover Vijana walikosa riba na rada Ilikuwaga ni mchana wakikimbiza mambangŽa
Sio easy getting this shilling Me na bro kitchen we be distilling Yeah I told you if you see me, you see me I was not there but they gave you the same feeling
Undercover Google u search Undercover msupa acheze bubu tukif*ck Ka anakanja crew inakam Wakiletaga ujanja crew inakam kuburn