My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani Zilikuwanga siku za maajabu Nakumbuka nikiwa jaba time flani Zilikuwanga siku za maajabu
Mama Uhuru sisi ni mahuru na anajua Hizo game mbaya na anazijua Mbunge wa Mhaya ananijua Sisi huendea stock kukuwe mvua au jua
Pullup kwenye upblocks, boyz ndani ya .44s Chunga usindunge kwenye portal Munga unakuja na maglock jo Odi wa Murang´a alikushow Niko na craving ya kagoks jo
Arif alikatazangwa na mokoro Kutembea na mimi is a no no
Nilireceive transaction Ka kitu kadogo US toka kwa morio Arif ananidrip magoro, ati Dosh kula hiyo tommorrow Akili silly siko greasy looking kinda busy Hii ni hiliki hii ni pilipili hailiki
My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani Zilikuwanga siku za maajabu Nakumbuka nikiwa jaba time flani Zilikuwanga siku za maajabu
Okey real recognise real
Tukipatana huwaga feeling kinda big deal Mambo grand kazi kama kawa tena big Lit Iller than most wasee wajawai tisha Sidney
Nikisambaza unasoak, nikicheki time nishaku 3 nil Na ka ni approach we tu kam ka unafeel free Shika magari tushika madema au tununue mali Kuishi na regrets kumbuka the days utalilia nani
Now catch me in the benzo ka ni keroma sikunywi Lejo Nataka kupiga simu shika simu sikosi kredo Unasema nimechange ati Mic Eazy uko na mapetho Coz I be my own boss, nikikumbuka kuishi ni ghetto Kumbuka nikiwa alone nikiandika Hizi flows tutapachika hizi shows tutachachisha Hey everybody getting down in the party
Mambo Grand wakadinali, Mic 1 got to look
My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani Zilikuwanga siku za maajabu Nakumbuka nikiwa jaba time flani Zilikuwanga siku za maajabu
Ey siko Nai niko Odhumo Uh ju lanbda huku ilirumo Bado bado Rong Rende pale Umo Natoanga usoo nikichomaga Mugumo
Sina was mi sipangii masiku
Msupa amecatch ju silambagi hiyo kitu Iwe jua ama mvua sina issue Wananijua mi nikiwa mabangi ni ma bigtune
We si bro we ni nephew Na kama huamini hii rende ni rong nigga F.U Nakumbuka X bosses wakinitolea stress yote Mi na hustle excess na si-take losses Unapigwa ´Chhh´ bare hapa hatu-take nonsense Ushai bambwa na wife anaexpect mtoke Bro alimadwa na matha alikuwa anamexpect shoke
My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana My X bosses siku hizi wanacall my phone Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu Nakumbuka nikiwa jaba time flani Zilikuwanga siku za maajabu