XXXL ndio jacket Nimego local sijai skia joto Mi ndio niliplan hizo koto Mans I made it big kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro Off time ya roadshow inapiga kigoco Team kuiondoa kwa msoto is valid Lazima nitim hio ndoto

[Sewersydaa Mkadinali] Mass tulipitia kando na wasoro washaandika journal
Ati mass imegeuka Thanos kila hustle naingiza muscle Nyongolo kwa dancehall next thing gunshot Tulimtoka tu viclean before shit jo iget real Hatunanga saa hata minutes si ni team no sleep Grills flani zimerunda mgyalis huko Paris Njeri ashakuwa addict
Friday clubbing sunday tunaona padre Sai tunaongoja verdict ati ju ya gun tulicarry Though according to ballistics inaonyesha ulimiss it Na unachocha body count ati imefika sitini CID walicause kipindi ati walikuwa wamekujia mwili Pop boy DCI walikushow ucheze chini
XXXL ndio jacket
Nimego local sijai skia joto Mi ndio niliplan hizo koto Mans I made it big kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro Off time ya roadshow inapiga kigoco Team kuiondoa kwa msoto is valid Lazima nitim hio ndoto
XXXL ndio jacket Nimego local sijai skia joto Mi ndio niliplan hizo koto Mans I made it big kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro Off time ya roadshow inapiga kigoco Team kuiondoa kwa msoto is valid Lazima nitim hio ndoto
[Domani Munga Mkadinali] Rong Rende ndio logo tunawapa moto ka kifaru ndogo Leta utiaji uingizwe joto, mshikaji utageuzwa mshikaki na Arosto Ganji mi huonanga kwa ndoto  mi sina mchoro mans mi niko msoto Manzi alihepa na mtoto sababu ya botolo nimebaki na alosto
Stage mi hupandaga na condom, gyals kamisi wanazirusha random Nitawafanya vile alifanya kaldrogo kalisi mother of dragons Leta mengo mi nilete vita, sababu ka ni damu itatiririka Ka ni bundles zangu ni ma giga, mi si binadamu enda ita Jesus
Manzi yako hu huniita dzaddy, ati Munga mi ni papi Pullup na ngeus hatari na wala si mlami her melanin popping Nimekam thru kama atheist, kill ndani ya mosco mwarabu ndo racist Kill kila kitu vi authentic, sare DCI wakistudy hizo forensics
Stori ya kutoka kehuti, kwani nimekimbisha wangapi? Deep hizi streets bila utani, ops wako wapi nimejipin maukapi Mi huitwa mr macontrobands na sitaki mabishano Mi huitwa Carlos Gambino, lucky Luciano
XXXL ndio jacket
Nimego local sijai skia joto Mi ndio niliplan hizo koto Mans I made it big kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro Off time ya roadshow inapiga kigoco Team kuiondoa kwa msoto is valid Lazima nitim hio ndoto
XXXL ndio jacket Nimego local sijai skia joto Mi ndio niliplan hizo koto Mans I made it big kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro Off time ya roadshow inapiga kigoco Team kuiondoa kwa msoto is valid Lazima nitim hio ndoto
[Scar Mkadinali] ???L ndio jacket  kama ni ya wathi haiko kwa market Fala alikuja na babake ndwanzi wote walirudi na ma crutches Ni visimple Boy ndio manake si tuko mabangi, waragi za masatchet Msupa but yeye huwaga ratchet rende ilimdishi tulimfanyaga buffet Hii ni Rong Rende kumamake kuzoza lazima coz nigga we popping Mbona we unabanja na masanse kafanye Mpasho unapenda reporting
Bonga hapo Insta na usichoke lakini hizi streets usitokee Waliuma bro eye woshe, lakini si tulilipa bond now issokay
Sifuatangi weather ah-ah kwa kila weather nadunganga weather Pale Egesa tunarowesa vibe imewe we-we-weza
Buda we rush it, uliza Echesa Ungetulia ni vile huna pesa Ni hater na ati ananipenda hio return to sender Hii ni ya mamorio anzenza wale wameshika mangondo Hii ni ya wasupa wamebeba kubeba this year napita na Rono Kimya kimya buda usibonge whatever Kimya niskize Inooro kwanza we fala nifanyie favour Zima hio fegi niwashe kikoro
Fvck  it, fala tulimpata offside Ngumi mpaka ameze taxin, kumbe we hunanga nguvu ukiwa offline
Rende ikidishi unajuaga we all fine So huwezi nishow namix Naingiza biashara ndani ya form Backstage nina mzinga ya chrome Sigara na jaba ya Kariakor Hio ndo hali ya show Wachana na mimi pambana na hali yako Siwezi marinate poko Siwezi jichocha na ma-reaction Boom!