Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha Cha kutumaini sina
Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha (Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)
Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanaga Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanaga
(Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)
Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha (Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama
Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)
Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake (Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama NdiyeĀ Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)