Asante Yesu Libarikiwe jina lako bwana Uinuliwe Bwana Mungu Baba Mtakatifu Uliemwema na mkamilifu
Mungu Baba na Roho Mtakatifu Uletae uhai Mfariji wa kweli Wewe ulietabibu Unaeganga mioyo yetu Uliemwema wakati wote Ata sasa ooh Bwana Ulieweka mchana na usiku Ujuae mwanzo na mwisho wetu Wakati wa furaha na uchungu Utabaki kuitwa Mungu
Ni wewe, Ni wewe Bwana Ni wewe, Ni wewe Bwana Hakuna kama wewe Ni wewe, ni wewe Bwana Ni wewe, ni wewe Bwana
Ninaposema wewe ni Bwana Ni kweli namaanisha Maana haubadilishwi na mazingira Wewe wayabadilisha Unaweza badilisha uchungu Unaweza badilisha mateso kuwa furaha Kilio kuwa kicheko Unaweza badilisha huzuni Machozi yanaotoka yakamiminika kama mito kuwa Amani Wewe ni mfariji We ndiye Amani We ndiye Amani Hakuna zaidi yako
Wewe Ni Wewe Ni Wewe Bwana Ni wewe, Ni wewe, Ni wewe Bwana Unaetupa Amani ya kutosha
Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Rafiki, Rafiki, Rafiki wa Kweli Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana