Sijawahi ona zaidi yako Shammah Sijawahi kuona kama wewe Baba Sijawahi kuona sifa za lako jina Simba kabila la Yuda, ooh mwamba
Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee
Wewe unaye ponya viwete wakatembea Wewe unayeponya vipofu wakaona Tena unayeponya viziwi wakasikia Na mimi masikini wanipa habari njema
Yaani mambo, moto moto Oooh moto, kila kona ni moto moto Fire, eeh moto Yaani mambo, moto moto
Yaani kwako moto, moto Yesu moto moto(Moto moto) Mambo, eeeh moto
Kila ninapopiga goti, unanijibu Baba Ninapomwaga machozi, unanifuta Baba Hata wakati wa shida, taabu na yale mabaya Hujawahi kuniacha Baba, daima wewe upo upande wangu
Nitalishika neno lako lisiniponyoke Nitaziimba sifa zako daima milele Daima milele, lele lelele
Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee