Wacha niseme, we ni namba moja Umenifanya wa thamani wa pekee Hakuna kama we, na sioni mwingine tena Wakufanana nae, ila ni wewe bwana Wakufanana nae, ila ni wewe bwana
And i believe, ni wewe pekee yako And i believe, bila wewe nisingekuwepo
Maana uliniumba, kwa mfano wako we Huo ni upendo usiolezeka Uzuri na sifa zako, nitaimba milele Ili wajue we ni, namba moja Kwa maana uliniumba kwa mfano wako we Huo ni upendo usiolezeka Uzuri na sifa zako nitaimba milele Ili wajue we ni, namba moja
We ni namba moja (we ni namba moja) We ni namba moja (namba moja) We ni namba moja (namba one) (namba one) Namba moja We ni namba moja (namba moja) We ni namba moja, namba moja
We ni namba moja, namba moja We ni namba moja, namba moja
Umekuwa mwaminifu, tena kwangu ni mwema Umenipa uvumilivu, nimesimama tena Hatua za maisha yangu, wazijua vyema Umekuwa mwaminifu, tena kwangu ni mwema Umenipa uvumilivu, nimesimama tena Hatua za maisha yangu, wazijua vyema
And i believe, we ni namba moja And i believe, you´re the only one Only one god We ni namba moja, only one god We ni namba moja, namba moja We ni namba moja, namba one Namba one, namba moja We ni namba moja, namba moja
We ni namba moja , namba moja We ni namba moja , namba moja We ni namba moja
Maana uliniumba kwa mfano wako we Huo ni upendo usiolezeka Uzuri na sifa zako nitaimba milele Ili wajue we ni namba moja
And i believe, wewe ni namba moja And i believe, wewe ni namba moja Namba moja , namba moja Namba moja