Umenitoa mbali Kusiko julikana Kwa Neema yako Isiyosemekana Umenitoa kule kusikojulikana
Kwa upendo wako Usiosemekana
Ni Muujiza Mi kufika hapa Ni Muujiza Mi kuwa hai Ni Muujiza Kupendwa na wewe Yesu Ni Muujiza Kusimama tena
Si kwamba mimi nimetenda wema, saaaana Si kwamba mimi ni mtakatifu , sanaaaa Si kwamba mimi ni mnyenyekevu, sanaaaa Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa, sanaaa Ilaaaaaa
Ni Neema yako Bwana (Neema yako Bwana ) Ni Neema yako Bwana (Neema yako Baba ) Ni Neema yako Bwana (Aiyelelele leleleee) Neema yako Bwana Neema yako Bwana
Duniani nimekutana na mengii Taabu na misukosuko Kuishiwa na kuchoka Duniani nimepambana na vingii Kutengwa na kukataliwa Mimi eeh Ninaona ajabu Hukuniacha nilivyo Oh Ajabu Hukunipungukia Yesu
Si kwamba mimi nimetenda wema sanaaa
Si kwamba mimi ni mtakatifu sanaaaa Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sanaaa Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa Sanaaa Ila
Ni Neema yako Bwana (Neema yako Bwana) Ni Neema yako Bwana (Neema yako Baba) Ni Neema yako Bwana (Aiyelelele leleleee) Neema yako Bwana Neema yako
Neema yako Ni Neema yako Bwana Neema yako Ni Muujiza (Ni Neema yako Bwana) Ni Muujiza Ni Neema yako Bwana Ni muujiza
Yesu unaniwazia mema (Ni Neema yako Bwana) Mazuri unanitendea Ni Muujiza Ni Neema yako Bwana Ni Muujiza