Iyee mmhh eh, iye mm eeh (Aaah) Iyee mmhh eh (aaaah) Hmmmm
Maisha yangu
Yana wewe Mungu Tumaini la moyo Kwako mim nimeliweka Msaada Wa karibu bwana Nitakusifu wewe tu Na nitakutuza Nitapolemewa na mizigo Magonjwa na mateso Sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana Gongo lako na fimbo yako Vinanifariji bwana aaah
(Only you) Only you (Jesus) Only you Elishadai (Only you) Oooh Yeah (My god) Adonai (Only you) Only you Jesus (Jesus) Ni wewe unanitosha mimi (only You) Ni wewe unanifaa daima (my God) Only you
Kila njia ya mtu ni sawa Machoni pake mwenyewe Bali bwana hupima mioyo
Mawazo tuliyonayo nafahamu naweza kujiona watakatifu Ila mbele zake hasara Roho ni wadhaifu uuh Tujinyenyekeze mbele zake Tupate thawabu milele Kwa kumtumikia yeye tu
Yeye anaponyaa Anaokoa Halo halo haloo Kwangu ni mwaminifu Huyu yesu Nitapolemewa na mizigo Magonjwa na mateso Sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana Gongo lako na fimbo yako
(Only you) Only you … Jesus Simba na Yuda Only you uuh My God Hakuna kama wewe (only you) Nitang´ang ana na wewe (Jesus) Jesus (only you)
Ni wewe pekee yako tu (My God) Eeeh (Only you) Baba Huruma eeh (Jesus) Mwingi wa rehema eeeh (only you) Hakuna kama wewe (My God) Mwenye Kutoa buree (only you) Unayetupenda (Jesus)
Aaaah eeehhh (only you) Yesu wangu (My God) Baba yangu (Walter)