Aaahhh Thank you Jesus Thank You Lord,Hallelujah Sijaona Kama wewe sijaona Sijaona kama weweee bwanaa
Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana (Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana)
Nimekukimbilia wewe ili nisiaibike Nakinywa changu kinene utukufu kwako milele Nisiwe mbali na uso wako,na kweli yako inifunike Giza litapotanda,Nuru yako inimulike Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu Sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu Tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu Utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh
(Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe bwanaa
Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe Bwana)
Nitatangaza ushindi asubuhi na mapema Maana vita yangu YESU ni wewe umenishindia Na lile vazi la aibu ukanitoa ukanivika la heshima Niseme nini Bwana hakuna kama wewe eeehh Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu Sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu Tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu
(Sijaona kama wewe Sijaona kama wewe bwanaaa Utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe Bwana Sijaona kama wewe eeehhh
Sijaona kama wewe Bwana Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe Bwana)