Hmmmmm… Mama hoi tabani yani hajiwezi Kwenda shule sitamani nguo kama chizi Mazao hakuna shambani masika kiangazi aaah aaaahh Ona tunaishi nakula kwa mgomo (ni bara )
Japo wananipa moyo nisijali huuuumm Tuna madeni afadhali ya jana (ya jana aah) Shamba linatafutiwa madalali (yele yele)
Tushakesha si na Godi Kwa visomo na nyingi dua Habari ngi zangelazi Nasi tupate kupumua Ye Baba bize na konyagi Kila siku analewa Hapataki ata nyumbani Ameitenga familia aah
Namuoanea huruma mama aaah Japo sina lakufanya Namuonea huruma mama Ila sina lakufanya