đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Zee
Titre : Nakuja
Nikikuona moyo wangu gojo gojo
Nahisi kukuona ooh nachojoa chojo
Sitaki kona kona, nakusubiri jojo
Ooh beiby shona shona shindilia

Nahisi naibiwa
Ooh No, hawana ujanja
Nachanganyikiwa
Beiby slow slow safisha uwanja

Nikumbate nipate joto joto
Mwaga mbolea tupate katoto
Gusa baba ya moto
Aaah aah kimoko

Nimekusikia, ooh mama watoto
Nakanyagia mixer prokoto
Nyonga mama, ya moto
Aha haa, kimoto

Whats the time now?(Nakuja)
Ona hutokei(Nakuja)
Nimechoka kusubiri(Nakuja)

Mbona husogei(Nakuja)

Whats the time now?(Nakuja)
Ona hutokei(Nakuja)
Nimechoka kusubiri(Nakuja)
Aaah aah(Nakuja)

Wanaulizana
Nimekupendea nini beiby?
Tumeshibana
Yaani shoka na mpini beiby aah

Vile unavyosindika naridhia
Homa inapoa
Fade inatiririka, miminika
Nishatangaza ndoa

Nikumbate nipate joto joto

Mwaga mbolea tupate katoto
Gusa baba ya moto
Aaah aah kimoko

Nimekusikia, ooh mama watoto
Nakanyagia mixer prokoto
Nyonga mama, ya moto
Aha haa, kimoto

Whats the time now?(Nakuja)
Ona hutokei(Nakuja)
Nimechoka kusubiri(Nakuja)
Mbona husogei(Nakuja)

Whats the time now?(Nakuja)
Ona hutokei(Nakuja)
Nimechoka kusubiri(Nakuja)
Aaah aah(Nakuja)

Isubiri mama(Nakuja)
Aah ningoje(Nakuja)

Papa piva popo(Ayee)
Aah aah ooh ooh(Ayee)
Aah tira toto(Ayee)
Tatata prokoto prakata ooh

Tata tira toto(Ayee)
Tata tira toto(Ayee)
Tata tira toto(Ayee)
Tatata prokoto prakata ayee