Kila chumba changu kwenye moyo wangu Ushapanga wee Kama nikikosa, nikikosa nisamehe
Hata nuru yangu na nyota yangu Sare na wewe Usije ukanitosa, ukanitosa nife
We ni dawaaaa Umeniponya maumivu Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa
Usije ukaruka Ukasepa nao maana
We ni dawaaaa Umeniponya maumivu Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa Usije ukaruka Ukasepa nao maana
Unanipa raha, unanipa raha Unanipa raha unanipa raha Unanipa raha, unanipa raha Unanipa raha unanipa raha
Umenipa dawa ya sumu ya mapenzi Nimepagawa na team yako nipe jezi
Nilinde nyumba yako wasifike wezi Tule baraka za wazazi wako na Mwenyezi
Mwili wote mali yako chezeaa Ning´inia kwenye bomba lako bembeaaa Napenda kuona miguu yako vile ukitembea Napenda ukiongea macho yamelegea
Lazima ntasogea unajua nimekolea Unanchanganya na michezo ya kitanga Nyuma ulivojaza ndani moja kanga Nakukataza mama usiende kwa waganga
Penzi limenichalaza na haujashika panga Umekalisha wanga haujui kudanga Umenipiga lock nikitoka kimungu mungu Raha unazonipa mpaka nahisi kizunguzungu (Bizy, Bizy)
We ni dawaaaa Umeniponya maumivu Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa Usije ukaruka Ukasepa nao maana
We ni dawaaaa Umeniponya maumivu Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa Usije ukaruka Ukasepa nao maana
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha unanipa raha Unanipa raha, unanipa raha Unanipa raha unanipa raha